MSAADA:APK configuration settings za Vodacom

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.

Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings lakn wiki sasa imekatika naona kimya.
Kifaa changu kina support 4g.,ila hata nikipata 3G haina shida kwa maana hapa inasoma E tu hata msg WhatsApp haziingii.
 
Daaah...ngoja nami nipate maujanja hapa, vodacom customercare ni kwikwi...nina modem yao hapa, wanadai ni PLUG n PLAY, huwezi cheki salio, kujaza salio ni mpaka ununue kupitia line nyingine, ukiwapigia wanaongea ujinga tu!
 
Hawa jamaa nilishawahama long sana ktk swala zima la internet ila sasa juzi nilitumiwa kifurushi cha wiki GBs za kutosha sasa sitaki zije ku expire bure.
 
Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.

Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings lakn wiki sasa imekatika naona kimya.
Kifaa changu kina support 4g.,ila hata nikipata 3G haina shida kwa maana hapa inasoma E tu hata msg WhatsApp haziingii.
ni aina gani
 
Mkuu, aina ya simy unayotumia? Je ni Double line?
 
Tuma neno ALL kwenda 15300 utaletewa configuration message wewe utazisave/install tu
 
Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.

Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings lakn wiki sasa imekatika naona kimya.
Kifaa changu kina support 4g.,ila hata nikipata 3G haina shida kwa maana hapa inasoma E tu hata msg WhatsApp haziingii.
.
Mkuu hilo ni tatizo la wengi hasa voda na airtel mie nimechoka kwa kukosa internet ya uhakika kwa hizi kampuni hadi nikaihusisha hii kero na ujio wa Magu. Mbona huko nyuma haikua hivi?
 
Back
Top Bottom