Jifunze hapa kuhusu Remix OS

Jifunze hapa kuhusu Remix OS

Sir_Finus

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
330
Reaction score
139
Remix OS..
Kwa wale wapenda operating system zenye feature mpya au ni watumiaji wa Windows lakin si kwa kazi kubwa sana kama za graphics na production nyingine nzito ila kazi zao zinabase zaidi kwenye

i. Office work (kusoma na kuandika doc and other office issues)

ii. Music and videos

iii. small entertaining games

iv. whatsapp, insta, facebuk and other socials medias

Basi operating system bora na nzuri ni hii Remix OS..

Ni kazi kubwa ya washkj wanaitwa JIDE hawa wamework kwenye android kuipa sura ya windows platform but ikiwa haijaathiri installment na supporting ya androids apps..

inafanya kazi sawa kabisa japo ilipotoka mwanzo ilikuwa na bugs nyingi sana na haikuja play store but kwa mwezi mmoja nimetumia version yao ya sasa its cool na nimependa kushare na nyie kama mnaweza itumia...

Inatumia charge poa sana ya laptop yako..

NA KIKUBWA NIMEONA TECNO WANAKUJA NA BIDHAA YAO MPYA INAITWA TECNO DROIDPAD 10 PRO II AMBAYO ITAKUWA INATUMIA HII OPERATING SYSTEM NA KWA MAELEZO YA AWALI ITAKUWA NA UWEZO WA KUKAA NA CHARGE MPAKA MASAA 13 KWA WEB BROWSING..

NI STEP KUBWA SANA KWA KAMPUNI HII AMBAYO INAJARIBU KUPIGA HATUA JAPO NAPATA UKAKASI NAYO NAPOONA HAIWEKEZ KWENYE MATAIFA MAKUBWA NA WAMENG'ANG'ANIA KWETU (NAJIULIZA NI BIDHAA ZAO HAZINA UBORA HUO KANA KWAMBA SISI HATUNA TESTING YA KUELEWA NDO MAANA WAMEKALIA SOKO LETU AU...)

ILA PAMOJA NA HAYO NIMEONA BIDHAA YAO AMBAYO HAIKUWA MAARUFU TANZANIA TECNO WINPAD 10 ILIKUWA POA IKIWA NA WINDOWS 8.1 PRO AND NOW WANAKUJA NA HII 2 IN 1 DROIDPAD 10 PRO II...
 
Thanks God i have uninstalled it on the first day i installed it, n thanks because am not going to use it again.
best OS for naive.
na hongera kwao for moving step ahead, though i honesty think someday it will spread like plague.
i can tolerate those tears i cry over the Microsoft.
 
Kiukweli Windows mpaka kufikia sasa anabaki kubebwa na Brand name pamoja na coding ya OS kuwa strong pamoja na software za kikazi nyingi bado anazo yeye na wengi ndio wanaojua kufanyia kazi...
ila siku zinakuja hawa android naona wanakuja kwa kasi sana na taratibu wanatoka kwenye small devices like phone,phablet,tablets na wanaelekea kwenye workstation sasa...
wakifanikiwa pia kufika hapo since ni open source naamini itakuwa na wide choices za apps na softwares ambazo zitafanya windows akimbilie kwenye server ambapo napo pia linux katake over...
NAONA MICROSOFT AKIKIMBIZWA NA KUPOTEZWA SIKU ZA USONI KAMA AMBAVYO NOKIA ILIPOTEA NA OS YAKE YA SYMBIAN...
 
are you serious? Android hata kidogo hAisogelei windows kwenye maeneo yake hebu fikiria haya maeneo machache

-Enterprise- simu za android zinauzwa mabilioni kwa mwaka lakini maofisi hayataki android kwanini? hakuna mtu anaetaka kutoa data zake za ofisi kwa google wala developer yoyote yule wapo radhi walipie hela nyingi ili data zao zibaki salama
-Gaming, serious gamers hawezi akakaa akaanza kudeal na in app purchase na games za watoto za kina angry bird

-proffessional, adobe alitengeneza photoshop hakuna hata aliejali na kuinunua mwisho wa siku akaidiscontinue, hakuna kazi za proffesional zinazofanyika kwenye android vizuri zaidi iwe ni graphics, 3d, CAD, statistics, web design, programing nk

-productivity, kama unataka uzalishaji unamzungumzia microsoft hapo nikikupa kazi ya excel ndogo tu unachemka na android yako

Utatumia android kuangalizia video na kufanya mambo madogo madogo ila usijidanganye kwamba android itaireplace windows
 
Kiukweli Windows mpaka kufikia sasa anabaki kubebwa na Brand name pamoja na coding ya OS kuwa strong pamoja na software za kikazi nyingi bado anazo yeye na wengi ndio wanaojua kufanyia kazi...
ila siku zinakuja hawa android naona wanakuja kwa kasi sana na taratibu wanatoka kwenye small devices like phone,phablet,tablets na wanaelekea kwenye workstation sasa...
wakifanikiwa pia kufika hapo since ni open source naamini itakuwa na wide choices za apps na softwares ambazo zitafanya windows akimbilie kwenye server ambapo napo pia linux katake over...
NAONA MICROSOFT AKIKIMBIZWA NA KUPOTEZWA SIKU ZA USONI KAMA AMBAVYO NOKIA ILIPOTEA NA OS YAKE YA SYMBIAN...
and by the way Nokia ali discontinue symbian hakuna yoyote alieiua symbian ni Nokia mwenyewe.
 
Upo sawa #chef-mkwawa but ukweli unabak pale pale japo android hana coding kubwa kwenye os yake na ni coz ya kuwekeza katika demand ya soko la small devices na hakuwa na security kubwa lakin tunapoelekea anaingia kwenye demand ya device za kati kama laptop na pc hichi kitu kitamfanya aongeze security kwenye os yake na.pia aongeze coding ili kusupport processor kubwa na apps nzito..

Let time will tell ila naona kikitokea mbeleni..

Kuhusu nokia hakusitisha bila reason ile symbian..

Ile symbian ilianza kudorora android alipokuja na open source developer wakahamia kwake wakamuacha yy akiwa na.narrow apps zikiwa na developer weng walizoziacha na zisizofanyiwa update tena..

So android ndo ilimforc nokia kushake hadi kuamua kuuza kwa microsoft...

Na swala ADOBE PHOTOSHOP walisitisha coz ilifail kutokana na feedback ya users kutokana na android nyingi devices zake kuwa na screen ndogo so feature nying developer aliziminya..ila tuelekeapo watarud kuendelea na kuzitengeneza...
 
Mkuu Nokia alisitisha symbian 2010 Elop alipoteuliwa kama CEO na wakati huo symbian ilikuwa kubwa kushinda android na ios ukizijumlisha.

Hivyo symbian iliuliwa na Nokia na sio android na ios kama vyombo vingi vya habari vinavyosema angalia mwenyewe mauzo ya Nokia 2010 utaamini, Nokia ameeka rekodi ya dunia mwaka huo simu milioni 500 aliuza hakuna alieifikia hadi leo.

Angalia hii graph
elop_effect_volume.jpg

Mwishoni mwa mwaka 2010 symbian ndio ilikuwa katika peak lakini Elop akai discontinue symbian, kama symbian imekuwa discontinued ikiwa ni kubwa kuliko android na ios combined iweje useme android ndo imeiua symbian? Elop kaiua symbian na meego ili Nokia waende wp kama alivyotumwa na waajiri wake wa zamani.

kuhusu Android mkuu unatakiwa ujue haya

-bidhaa za google ni mimi na wewe, usitegemee aeke tight security siku zote ataacha matundu. unafikiri mapato ya google yanatokana na nini wakati os ni bure?

-nikisema developer simaanishi idadi ya code za os, namaanisha ili utengeneze app ya simu kama whatsapp, facebook na app zako unazozipenda unahitaji pc inaweza isiwe windows ikawa mac au linux ila still utahitaji x86 architechture, developer almsot wote hawatengenezi program zao na android wala os za simu

-photoshop yA SIMU hadi leo ninayo nani kasema feature ziliminywa? ma icon makubwa kabisa, umewahi itumia? hebu angalia kimeminywa nini

t2fHrgDpWpx7Gm_NdZ6PzFEzFmZMU5jaGi8QMB0D1O4Dqa7IfwlTE7ViZDlXjxjS7n4

na Windows kila siku inashuka chini kwenye ukubwa wa vifaa, sasa hivi mauzo ya tablets yanashuka kila siku ila mauzo ya tablets za windows yanapanda. watu hawataki os dhaifu kwenye vifaa vyao. sasa hivi kuna tablet gani ya android utaifananisha na surface pro?
 
Kwenye ishu ya window na ubora wake mpaka kufikia sasa no anaweza argue iko sawa sana ikiwa na imara bugs chache na security ya kutosha comparison na android ambayo kweli bado sana ila naangalia kasi ya ukuaji ya android while window ya microsoft ikiongeza feature chache sana kwny system zake mpya mfano win xp to win 10 ukiacha muonekano na upgrading ya gui window kaongeza feature chache sana huku akipambana na kupunguza bugs na kuongeza supportng ya frameworks ila angalia android 2 mpaka kufikia sasa kwny android 6..

Tujipe muda japo thanks kunipa kitu kipya niangalie hawa jamaa...

Ishu ya adobe sijaitumia niliiweka kwny simu nikaitoa ngoja ntaiweka na ntarudi na mchanganuo poa maana nliokuwa nimekupa awali ulikuwa ni review za watumiaji wengne..na sikuitumia since kaz nafanya ni graphics na natumia computer sio simu
 
Kiukweli Windows mpaka kufikia sasa anabaki kubebwa na Brand name pamoja na coding ya OS kuwa strong pamoja na software za kikazi nyingi bado anazo yeye na wengi ndio wanaojua kufanyia kazi...
ila siku zinakuja hawa android naona wanakuja kwa kasi sana na taratibu wanatoka kwenye small devices like phone,phablet,tablets na wanaelekea kwenye workstation sasa...
wakifanikiwa pia kufika hapo since ni open source naamini itakuwa na wide choices za apps na softwares ambazo zitafanya windows akimbilie kwenye server ambapo napo pia linux katake over...
NAONA MICROSOFT AKIKIMBIZWA NA KUPOTEZWA SIKU ZA USONI KAMA AMBAVYO NOKIA ILIPOTEA NA OS YAKE YA SYMBIAN...
Sio kubebwa, your computational tasks give me headache when i calibrate your age, you have no idea. Go to bed and have a nice dreams.
 
Kwenye ishu ya window na ubora wake mpaka kufikia sasa no anaweza argue iko sawa sana ikiwa na imara bugs chache na security ya kutosha comparison na android ambayo kweli bado sana ila naangalia kasi ya ukuaji ya android while window ya microsoft ikiongeza feature chache sana kwny system zake mpya mfano win xp to win 10 ukiacha muonekano na upgrading ya gui window kaongeza feature chache sana huku akipambana na kupunguza bugs na kuongeza supportng ya frameworks ila angalia android 2 mpaka kufikia sasa kwny android 6..
Tujipe muda japo thanks kunipa kitu kipya niangalie hawa jamaa...
Ishu ya adobe sijaitumia niliiweka kwny simu nikaitoa ngoja ntaiweka na ntarudi na mchanganuo poa maana nliokuwa nimekupa awali ulikuwa ni review za watumiaji wengne..na sikuitumia since kaz nafanya ni graphics na natumia computer sio simu
mkuu kuna maelfu ya feature toka xp kwenda 10, angalia changelog yake utaona. sasa hivi unaweza tumia pc bila ant virus ukategemea tu security ya os, kuna direct x12 kwenye games, sasa hivi windows sio laptop na desktop tu kuna hadi hub, hololens, simu etc. kuna universal windows apps, sasa hivi kuna support nzuri ya touch, kuna gestures na matumizi ya kalamu, windows hello, etc google changelog za win 10 utaona
 
Chief mkwawa hawa jamaa unasemaje mpaka walipofika now? Hop utakuwa ushawaangalia.. Wana hub, tv os, mobile os
 
Back
Top Bottom