Shallom / Assalam Aleykum Wanaboard.
Husika na kichwa cha thread hapo juu.
Naomba mnieleweshe naweza vp kuweka whatsapp accounts 2 kwenye iphone/ios 10 kwenye android i used to use ile app ya "...
kama kichwa cha habari kinavyojieieza majina yamefutika baada ya kufanya fomati ya simu yangu,majina nilikuwa nayahifadhi kwenye yahoo email.Aina ya simu ni Y-4 Techno
Ninatanguliza shukrani.
Wakuu, kwenye instagram huwa wanakushauri (suggestion) akaunti za kufollow, huwa wanakwambia fulani ni mmoja kati ya contacts zako lkn kwa kawaida majina ya contacts na majina ya akaunti za insta...
Nimejaibu kutumia account yangu ya master card kila details yakwenye card yangu niliyoingiza imenitambua na kuniandika hadi jina kabsa adi location ila katika kumalizia inagoma tatizo ni nini apo...
1# kubadilisha window nakupata latest window
2# ku update with latest drivers
3# kama unaitaji softwere yoyote ile kwa matumizi ya shule,office, kazi
4# ku root smartphone kukuwekea any softwere...
Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa kuroot aliyepo mbeya maana mimi sina uzóefú hívyo ñaógópà ómba mwéñye uzoefï àlíyepo mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello wajumbe, I hope weekend yenu ipo njema,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nacheza hili game la fifa kwenye pc lakini niliishia kucheza ambazo zimechakachuliwa kwa hivyo sikuweza kucheza...
Tunahitaji mtu wa graphics a-design icons kwajili ya app yetu.
Mfano wa icons tunazotaka ni kama huo hapo kwenye picha.
Kila icon itakuwa inwakilisha kitu tofauti e.g. Contact, Schools, etc...
Naomba ushauri kwa wataalam na wazoefu wa laptop(pc), nahitaj kununua pc mpya ya dukani,Mini laptop yenye mlango yaani sehem ya kuweka cd, bajeti yangu ni laki3.Nje na chager capacity,hard disk...
Wanasayansi Nisaidieni Namna ya Kupiga simu kupitiaa Modem yaani ni instal app gani kwenye PC ili nieze kueza ata kuunga kifurushi au kuingiza Vocha na Kupiga simu kupitiaa Hapo!
Ahsanteni!
Wakuu naombeni msaada wa kuedit scanned document iliyo kwenye mfumo wa jpg. Nitumie nini niweze kuedit text. Nadhani nimeeleweka.
kama ni cheti au kitu ambacho kina maumbo mengine tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.