Msaada wa kurudisha majina yaliyofutika kwenye simu

CHITAKO

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
31
Reaction score
10
kama kichwa cha habari kinavyojieieza majina yamefutika baada ya kufanya fomati ya simu yangu,majina nilikuwa nayahifadhi kwenye yahoo email.Aina ya simu ni Y-4 Techno
Ninatanguliza shukrani.
 
Nenda settings, account chagua email ya yahoo weka email yako na password yako subiri ilogin then iache i sync na simu yako majina yatarudi
 
Email inasaidia sana

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Nenda settings, account chagua email ya yahoo weka email yako na password yako subiri ilogin then iache i sync na simu yako majina yatarudi
Jaman mi naomba msaada jinsi ya kurudisha IMEI namba zimepotea baada ya kurestore simu yangu aina ya SONY XPERIA Z4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda settings, account chagua email ya yahoo weka email yako na password yako subiri ilogin then iache i sync na simu yako majina yatarudi
Nashukuru kwa ushauri,lakini nimefuata maelekezo yote lakini bado tatizo lipo palepale,majina bado hayajurudi.Naomba kama kuna njia nyingine kiongozi.
 
Basi itakuwa hukuwa unatumia hiyo email kama phonebook acc
 
Nilikuwa natumia kama phonebook,labda sijaelewa maelekezo,kwasababu nimefanya kama ulivyonielekeza lakini wapi.Nina email mbili moja ni gmail na nyingine ni yahoo.Wakati wa kuhifadhi majina kwenye simu kulikuwa kunadisplay option mbili yaani yahoo au gmail,hivyo mimi nilikuwa nayasevu kwenye email ya yahoo.Naomba msaada zaidi.
 
Nenda settings, accounts chagua hiyo email uliyoweka anagalia kama kwenye settings sync ya contacts iko on kama haiko on iweke on then sync yaspotokea utakuwa huyasave ndo aisee
 
kiongozi nimeenda kwenye settings lakini hapo sijaona yahoo email,hapo nakutana na whatsapp,google,facebook.n.k,yahoo sijaona.kiongozi tafadhali usinichoke,naomba msaada zaidi
 
Settings scrow mpaka kwenye my accounts chagua email utaikuta huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom