Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,869
- 2,118
Habari wapendwa, nina jambo naomba kuuliza hivi naweza kuroot samsung S8+?
Nahitaji kutumia Lucky patcher ikiwa full optionUroot ili iweje? na wakati huo hiyo simu inakila kitu.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
asanteUnaweza waone wataalam wakupe mwongozo
Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
pamojaweeee jamaa acha utani basi hii simu ya milioni 2 unairoot ili iweje au ni kipi cha ziada utakipata kama ni kweli hii simu unayo ni bora utulie nayo kwanza
Hahahaha roho inakuuma kama mlichanga wote [emoji23] [emoji23]weeee jamaa acha utani basi hii simu ya milioni 2 unairoot ili iweje au ni kipi cha ziada utakipata kama ni kweli hii simu unayo ni bora utulie nayo kwanza
Jaman mi naomba msaada jinsi ya kurudisha IMEI namba zimepotea baada ya kurestore simu yangu aina ya SONY XPERIA Z4
Sent using Jamii Forums mobile app