Kama kuna mtu ameshawai nunua online game

Kama kuna mtu ameshawai nunua online game

Princebreez

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
54
Reaction score
32
Nimejaibu kutumia account yangu ya master card kila details yakwenye card yangu niliyoingiza imenitambua na kuniandika hadi jina kabsa adi location ila katika kumalizia inagoma tatizo ni nini apo wakuu
Ninatumia steam account na origin account zote hizo zimenifanyia kitu same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si ukanunue account ya origin tu zipo ebay huko tena zina game zakutosha tayar..

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
 
Sorry if this is a silly question, but kadi yako umeiwezesha kufanya manunuzi online?

Kama ikiendelea kuzingua, unaweza kutumia bitcoin, steam wanakubali bitcoin as a form of payment.
 
Mkuu nimedownld blackmart na nikachakachua game inaitwa ( leo's fortune) lakini mambo yamegoma naona hapa sina ujanja itabidi nikasajili kadi yangu ya benk ili ninunue tu

Asante kwa kunipa maujanja
Simu yako umeifanyia rooting?
 
Back
Top Bottom