Msaada#; Jinsi ya kubadili jina ninalotumia Facebook

Msaada#; Jinsi ya kubadili jina ninalotumia Facebook

Kwani unataka ujiite nani vile!?
 
Wadau nataka kubadili jina nalotumia facebook nifanyeje?
Log in katika account yako ya Facebook then tafuta utakuta sehemu imeandikwa setting ukiingia hapo utakuta sehemu nyingine tena imeandikwa account settings hapo ndo utakuta sehemu yakubadilisha jina.
 
Back
Top Bottom