Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 138
Tunahitaji mtu wa graphics a-design icons kwajili ya app yetu.
Mfano wa icons tunazotaka ni kama huo hapo kwenye picha.
Kila icon itakuwa inwakilisha kitu tofauti e.g. Contact, Schools, etc
NB:
Usichukue icons za mtu online.
Wataalamu wa graphics mnakaribishwa.
Mfano wa icons tunazotaka ni kama huo hapo kwenye picha.
Kila icon itakuwa inwakilisha kitu tofauti e.g. Contact, Schools, etc
NB:
Usichukue icons za mtu online.
Wataalamu wa graphics mnakaribishwa.