Msaada jinsi ya kupost video hapa JamiiForums

Sixv2

Senior Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
170
Reaction score
98
Wakuu naombeni msaada kwa yule anayefahamu jins ya kupost video hapa, natumia cm ya iphone six. Asante
 
Kama una gmail account unaweza ukaingia Youtube uka login na ku upload kisha una copy link na kuweka kwenye uzi
Nyingine ni ku upload kwenye vimeo na ku share hapa pia

Nyingine unabonyeza kwenye alama ya attachment kisha una upload, sema kuitazama mpaka mtu a download
 
Sijui kama atakuelewa
 
Chondechonde msimuueleze maana akijuwaa tuu mtajuta ataweka hata video za hovyo humu
 
Kama una gmail account unaweza ukaingia Youtube uka login na ku upload kisha una copy link na kuweka kwenye uzi
Nyingine ni ku upload kwenye vimeo na ku share hapa pia

Nyingine unabonyeza kwenye alama ya attachment kisha una upload, sema kuitazama mpaka mtu a download
Kwahivyo ni tofauti kati kupost picha na video?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom