Jinsi gani naweza kuedit scanned document au picha?

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wakuu naombeni msaada wa kuedit scanned document iliyo kwenye mfumo wa jpg. Nitumie nini niweze kuedit text. Nadhani nimeeleweka.

kama ni cheti au kitu ambacho kina maumbo mengine tofauti na maneno kama logo au frame na unachotaka kubadili ni kitu kidgo inabidi utumie image editing software kama vile photoshop.

na kama ina maneno mengi inabidi utumie software za ocr (optical charachter recognition), zipo nyingi cheki hizi kwa kuanzia

8 best OCR software for Windows 10
 
Hata MSPAINT unaweza kuitumia kikubwa ni ufanisi wako tu wa namna utaweza kufanya nayo kazi
 
photoshop will help to do. almost all u want
 
Kama ni text ukurasa mzima naona PDF Nitro itafanya hiyo kazi vema, pia Acrobat Professional.
 
Wakuu natumai mpo powaa.
Kuna jamaa aliwahi weka application humu inayosaidia kuedi document iloscanwa. Nimejaribu kutafuta hiyo application humu ila sijapata. Naomba kama kuna anyekumbuka, anayefahamu au anayeweza kuniwekea hapa ile nyuzi anaisaidie.
Nakumbuka uzi huo ni wa mwaka huu sio wa kati ya Machi na Juni. Ahsante sana Nakubali kusahihishwa kama haitakuwa hivyo ila muhimu ni huo msaada.
 
Heshima kwenu wakuu?
Naamini humu hakuna kinachoshindikana ndio maana nami nimekuja kuomba msaada.
Nimefunguo stationary hivyo nimekumbana na changamoto kubwa ya wateja wakitaka ni-edit documents zao kabla ya kuprint. Mfano mteja analeta cheti anataka nirekebishe tarehe au jina ndo niprint, je ni program gani inatumika either kwenye Simu au kompyuta?.
Asanten sana
 
kama ni cheti au kitu ambacho kina maumbo mengine tofauti na maneno kama logo au frame na unachotaka kubadili ni kitu kidgo inabidi utumie image editing software kama vile photoshop.

na kama ina maneno mengi inabidi utumie software za ocr (optical charachter recognition), zipo nyingi cheki hizi kwa kuanzia

8 best OCR software for Windows 10
 
kama ni cheti au kitu ambacho kina maumbo mengine tofauti na maneno kama logo au frame na unachotaka kubadili ni kitu kidgo inabidi utumie image editing software kama vile photoshop.

na kama ina maneno mengi inabidi utumie software za ocr (optical charachter recognition), zipo nyingi cheki hizi kwa kuanzia

8 best OCR software for Windows 10
Hiyo photoshop ni kweny Simu au kompyuta?
 
Heshima kwenu wakuu?
Naamini humu hakuna kinachoshindikana ndio maana nami nimekuja kuomba msaada.
Nimefunguo stationary hivyo nimekumbana na changamoto kubwa ya wateja wakitaka ni-edit documents zao kabla ya kuprint. Mfano mteja analeta cheti anataka nirekebishe tarehe au jina ndo niprint, je ni program gani inatumika either kwenye Simu au kompyuta?.
Asanten sana

Nina IRIS nipe pesa kidogo nikuuzie hiyo ina OCR(optical character recognition)
 
Kama ni text ukurasa mzima naona PDF Nitro itafanya hiyo kazi vema, pia Acrobat Professional.
Iyo acrobat naipataj coz Pia Nina shida nayo mkuu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Adobe photoshop is the master of all staffs...

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom