Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,489
Natumia galaxy s1. Mwanzo nilikuwa naweza ku-save files nyingi tu. Sasa imeanza kukataa, no enough space. Nikiangalia size ya content haizidi 250 MB. Internal SD size ni kama 1.5 GB. Nahisi itakuwa imeshambuliwa. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo.