Jinsi ya Kupiga simu Kupitia Modem!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Wanasayansi Nisaidieni Namna ya Kupiga simu kupitiaa Modem yaani ni instal app gani kwenye PC ili nieze kueza ata kuunga kifurushi au kuingiza Vocha na Kupiga simu kupitiaa Hapo!

Ahsanteni!
 
Wanasayansi Nisaidieni Namna ya Kupiga simu kupitiaa Modem yaani ni instal app gani kwenye PC ili nieze kueza ata kuunga kifurushi au kuingiza Vocha na Kupiga simu kupitiaa Hapo!

Ahsanteni!
mkuu ukipata jibu nitag
 
Modem yenyew huwa ina setup yake special imeandaliwa ukichomeka kwenye PC itakudirect yenyew uinstal kwenye computer yako

Baada ya hapo kupitia hyo setup uliyoinstal tayar utaona maelekezo tofauti tofauti

Kuna sehemu ya kukonnect

Kuna sehemu ya USSD huku ndiko ambako unaweza kuingiza vocha na kununua vifurushi vya mtandao husika

Kuna sehemu ya kupiga calls utaingiza namba na kumpigia mtu unayemtaka but ni lazima PC yako iungwe na mic bila hvyo amtaskilizana

Na vitu vingine kibao utakua ukiviona kadri unavyoitumia

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na aina ya modem...kuna zingine zinakuwa na feature ya kupiga simu na nyingine hazina..kuhusu app sijajua ngoja wanaofahamu waje kuelezea kiundani
 
Sikuwahi kuzani kuwa kunaweza kuwepo na swali la hivi,maana ninavyojua mimi ni kuwa ukiichomeka tu Modem inakuletea maelekezo ya kipi ukifanye.
 
Hata kuconnect haitak
umetengeneza setting? itabidi ueke upya apn na dial number,

nenda setting au tools au option chagua profile au internet setting au kifananiacho

connection name andika chochotr apn eka internet na dial ni *99# kisha save. then tumia hio setting ku connect.
 
You Always Give Smart Answers, Bro!!!!
Yeah ndio hivyo mkuu, unajaribu kushea kile kidogo ulichonacho ili kumsaidia mhusika, na mwingine kama ana habari kamili ndio hivyo anamsaidia...Kama kitu huwa nina idea nacho huwa sisiti kumpa msaada
 
Kama modem yako niya huawei basi download
huawei mobile partner
Icheki goolge utaipata updated kabsa na ni free
Then install na ukiichomeka modem yako itakuwa inaji connect kupitia huko na option yakupiga simu itaongezeka pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom