Anaefahamu namna ya kuroot simu za vodafone vfd300 anielekeze

Mkuu hiyo Simu(vfd 300 & 301) haitakiwi uisumbue kitu chochote, otherwise ukiiwasha itakuwa haimalizi mpaka betri inaisha na ukiichaji mwendo ni huo huo. Kama ni ya mtu mrudishie tu

from Katesh using Siemens C55
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom