Msaada: Jinsi ya kutambua akaunti ya Instagram ambayo ni contact kwenye simu

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
Wakuu, kwenye instagram huwa wanakushauri (suggestion) akaunti za kufollow, huwa wanakwambia fulani ni mmoja kati ya contacts zako lkn kwa kawaida majina ya contacts na majina ya akaunti za insta hutofautiana.
Msaada ninaouhitaji ni:
Nitajuaje namba ya simu ya huyu ambae insta wamesuggest nimfollow ambaye ni contact wangu?

Mfano hapa
5308fe3f3a1a2376cc8f6bf7d15c7851.jpg


Naomba radhi kwa kushindwa kupata lugha nyepesi ya kueleza tatizo langu ila naamini wapo watakaonifahamu.
Msaada tafadhali.

Gogle
 
Yaani hapo juu wameniambia Rahil yupo kwenye contacts wangu, sasa nataka kujua huyo rahil ni nani huku kwenye contacts

Gogle
 
Back
Top Bottom