Ninunue laptop aina gani?

Ninunue laptop aina gani?

mimi0

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
10
Reaction score
11
Naomba ushauri kwa wataalam na wazoefu wa laptop(pc), nahitaj kununua pc mpya ya dukani,Mini laptop yenye mlango yaani sehem ya kuweka cd, bajeti yangu ni laki3.Nje na chager capacity,hard disk size, ni vitu gani nizingatie, pia aina gani ya kampuni nzr.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na Mungu awabariki wataonishauri vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama zipo mini laptop zenye Cd/DVD writer...tena kwa laki 3 mmmh
 
Huwez kupata mkuu,PC mpya andaa minimum angalau 700.labda ukanunue mtumba.unaweza kupata kwa hyo hela
 
Back
Top Bottom