habari ya siku wanajamii,, poleni na shughuli na pilipilika za hapa na pale,, kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,, ni kwa namna gani naweza kuunganisha king'amuzi cha startimes ama chochote...
Na maswali mengi kichwani mpaka nashindwa kupata jibu....
Tatizo nini hasa mpaka iwe hivi..
Ina maana TRL hawana kitego cha I.T, au webmaster anayeweza lekebisha swala hii.
Au hii website...
Wasalaam ndugu wa jukwaa hili
Kama kichwa cha habari kinavyosema,naomba mnipe ushauri juu ya hii simu
-Whatsapp haijatolewa? vipi Instabeta? vipi kuhusu window 10?,na mengineyo ya kitaalam...
Katika kuboresha huduma kwa wateja wake, Programu ya WhatsApp ipo mbioni kuongeza sehemu (Features) mpya nne ambazo zitawasaidia watumiaji wake kupata unafuu na urahisi zaidi wakati wa kutumia...
Naomba kujua ni application gani nzuri naweza kutumia katika simu kurusha matukio katika youtube channel yangu,
na naomba kujua ni simu nzuri inayoweza kutoa video HD ni yenye uwezo gani...
Habarini....Najua hapa nitapata ushauri wa kuaminika ambao ni msaada mkubwa sana kwangu!
Mimi sijawahi kutumia IPHONE lakini hivi karibuni niliamua kutumia iphone nikamuagiza mtu aninunulie...
Hello waungwana...!!!
Nimewrong kublock line yangu ya simu(tigo), So until this time siko hewani.
Simu imeandika " PIN blocked, enter PUK"..
Sasa nimembwera wakuu hata sijui la kufanya na hii...
Habari za muda huu wapendwa wa jf ?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetumia muda wa siku 2 kuitafuta chaneli ya Varzish sport hd inayopatikana kwenye satelite tajwa hapo juu bila...
Wakuu nilitengeneza blogspot hapo kipindi cha nyuma kupitia maelekezo ya wadau hapahapa jf...tatizo limekuja nikijaribu kui search google nifanye kama mtu anataka kuingia haionekani..blogspot...
Habari wana JF, Karibuni kwenye makala nyngine leo tutaenda kujifunza jinsi ya kutumia sehemu mpya ya kuchat iliyokuja hivi karibuni, sehemu hiyo inapatika kwenye app za Youtube za Android na iOS...
Salaam!.
Najua zipo Application nyingine za kuwezesha kudownload bure app zinazouzwa,. Mimi naifahamu Blackmart lakini wewe unaweza kuweka nyingine kama unaifahamu...
wale wajuzi leo nimerudi tena naombeni nijuzeni kati ya CPU izo tajwa yaani core i5 na core 2 duo ipi bora kwa matumizi na ambayo haistack stack ovyo yaani yenye high performance mpaka mtumiaji...
Je ninaweza kudownload game LA dream league lenye ukubwa wa MB 312 wakati ukubwa wa simu yangu ni ram yake ni 512.... Akhsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku kuna kuwa na technology mpya nyingi tu zinazokuja za kuedit picha kwa kutumia cm. Sio mbaya ukatuambia wewe unatumia app gani kuedt picha zako. Ili nasi tujifunze.
Mimi huwa natumia...
Msaada tutani,
Kwa karibia wiki sasa nimekua nakutana na alama katikati ya bandiko kitu kinachoninyima uhuru wa kusoma vizuri.
Nimejaribu ku update Jamii forum lakini bado tatizo liko vilevile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.