Jinsi ya kuangalia video za youtube kwenye vlc

Nisaidieni jamani nawekaje wasap kwenye tablet

Sent using Jamii Forums mobile app
Kua specific. Hiyo tab network iko sawa ila whatsapp ndiyo haikai? Inakuonyesha error gani?

Tabs baadhi ziliikataa whatsapp ya version mpya, walioupdate walishangaa kuona whatsapp imebounce. Kama yako hata toleo jipya inapokea hebu cheki background data na vitu kama hivyo.

Uko too general mkuu
 
Yaan ni mpya nikijaribu kuinstall wasap nashindwa wananambia maelekezo kiba mie nashindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom