Habarini wakuu!
Simu yangu tajwa hapo juu imepata tatizo la IMEI Number, sijui chanzo ni nini ila imetokea tu IMEI Number imebadilika. Nimehangaika saana na rafiki yangu ila bado inasumbua, nimeamua kuleta kwenu suala hili wakuu ili mnisaidie.
Simu ni Galaxy s5 ina Lollipop ya 5.0.
Model Number ni SM-G900H
Simu ipo rooted tayari.
Asanteni!