Naomba msaada wa jinsi ya kupata namba za simu zilizopigwa na kupiga kisha zikafutwa

Hizo namba zimefutikaje maana haujatupa mzizi wa / sababu ya kutafuta hizo namba.......?!

Kama ni kwasababu za kiupelelezi wahudumu wa mitandao ya simu hawawezi kukusaidia hadi kibali kutoka polisi na utambulisho maaalimu labda kama unajamaa yako anafanya kazi kwenye kampuni ya sim.

Kama ni umepoteza kikawaida kuwa zimefutika si uwasiliane na watu wa karibu wakupatie hizo namba?!

SONY Xperia Z5 Premium
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom