Namba 0754125125 Kutumika Ku-forward Calls Automatically!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda inarudi!
Wataalamu naombeni cha kufanya maana nikijaribu hata kuipiga haipatikani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwangu huwa naiona hiyo namba, huwa nashangaa kuiona na simu ninakaa nayo muda wote, sikuweza kuifuatilia niliitoa kwenye divert call lakni baada ya muda inarudi. Inajidivert kwenye line ya voda.
 
Aisee, fuata maelekezo kama wanavyotoa wataalamu, otherwise utakuwa unafuatiliwa mawasiliano yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, fuata maelekezo kama wanavyotoa wataalamu, otherwise utakuwa unafuatiliwa mawasiliano yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hiki naona voda wanadukuliwa sana, kuna tapeli huwa anawatapeli watu wanaotumia line za voda anakutumia sms inakuja kama ya M-pesa, sms hiyo inakuwa na namba halafu anakupigia kwa namba ya kawaida anasema anatokea voda anakuuliza kama umepokea namba ya bahati kupitia m-pesa, kitakachofata hapo ni kutapeliwa.
 
Hii kitu ata kwangu naona ipo

41bd397162b7d7aced5537bae98ce03c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ikijitokeza tena basi wapigie kampuni husika waiblock, wataishughulikia bila shida.
 
Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda inarudi!
Wataalamu naombeni cha kufanya maana nikijaribu hata kuipiga haipatikani!

Sent using Jamii Forums mobile app
hii nmba kitambo ilikuwa inatumika kuwajulisha wateja watu waliowapigia wakiwa offline..
labda kwa sasa wameisajil ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Wakuu,
Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda inarudi!
Wataalamu naombeni cha kufanya maana nikijaribu hata kuipiga haipatikani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nime note kitu icho kwenye namba yangu ya voda baada ya watu kuwa wanalalamika kila wakinipigia anapokea mwanamke. Namba iyo iyo kama uliyoandika

Sent from my SM-A520F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom