Battery saver nzuri kwa ajili ya simu ya android...

Battery saver nzuri kwa ajili ya simu ya android...

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
1,584
Reaction score
2,615
Habari za asubuhi wanajamvi? Naomba kueleweshwa ni battery saver gani kutoka play store inayoaminika zaidi kwa kulinda charge ya simu ya android? Nimejaribu BATTERY DOCTOR na DU BATTERY SAVER lakini naona charge inaisha haraka tu kama haina saver yoyote. Naomba maujanja mwenzenu...
 
hizo zote hazina maana ni wezi tu wa kichina.

battery server inayokubalika ni greenfy sema nayo ili ifanye kazi kikamilifu ni hadi uwe na root, inafanya bila root sema sio kwa ufanisi. unaweza icheki store.
 
Back
Top Bottom