Msaada: dekoda inasumbua

Msaada: dekoda inasumbua

hakikisha umeseti tv ionyeshe input ambayo umechomeka huo waya wa dstv.

mfano tv yako ina port 3 za HDMI na waya wa dstv umechomeka kwenye port ya 2 ya HDMI, chukua remote ya TV kisha bonyeza source au input halafu chagua hdmi 2 then utaona.

pia unaweza kuutest huo waya kwenye kifaa chengine uuhakikishe kwamba ni mzima na unafanya kazi.
 
Back
Top Bottom