Kununua bidhaa Amazon! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kununua bidhaa Amazon!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bornvilla, Oct 23, 2011.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naomba mnisaidie namna ya kununua bidha kutoka online Amazon.Mi niko Tz na nina Visacard ya crdb. Jamani naomba msaada kwa wenye uzoefu anijuze ili ninunue bidhaa. Pia,nauliza kama bidhaa zao ni genuine?
   
 2. kimsboy

  kimsboy JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2017
  Joined: Oct 17, 2016
  Messages: 2,345
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  ngoja waje
   
 3. danali

  danali JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2017
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 808
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 180
  Mbona zipo thread nyingi tu hapa zimeelezea namna ya kufanya manunuzi online pitia hapa utajifunza mengi
  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
   
Loading...