Mi ntaanza kutaja nnazozipenda zaidi..
Farm Hero Saga
Tempe Run
Jamiifurums
Twitbot
Premier League Official
Skysport
Bloomberg
Goal.com
CNN Money
ebay
amazon
Evernote
Ntarudi wakati mwingine.
Ingependeza ukiandika app usema ina fanya nini. Mfano
1. CamCard hii ukipewa business card unaipiga picha na yenyewe in record contact information zote ( jina simu namba, mobile fax email etc) kwa mpangilio kwenye phone book yako.
2, Flight Board hii inaonyesha ratiba za ndege viwanja vyote vikubwa duniani flight time and departures delays etc. Ukiwa Dar unaweza kuona status ya connection yako Nairobi au kwingine kokote duniani.
3. Quickvoice hii inakusaidia kurekodi conversation na mtu yeyote bila yeye kujua unarekodi
namba 3 unarekodije?
Ukiifungua application inakuonyesha buttons za kubonyeza kurekodi au kuplay. Version ya kulipia inakuruhusu kushare kupitia media tofauti tofauti. Ikiwa hutaki interferences za simu unaweka kwenye fly mode.
Samahani Mimi ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino natamani kuzidownload lakin nashindwa nisaidie nifanyeje?Mi ntaanza kutaja nnazozipenda zaidi..
Farm Hero Saga
Tempe Run
Jamiifurums
Twitbot
Premier League Official
Skysport
Bloomberg
Goal.com
CNN Money
ebay
amazon
Evernote
Ntarudi wakati mwingine.
Samahani Mimi ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino natamani kuzidownload lakin nashindwa nisaidie nifanyeje?