Ads katika simu

Ads katika simu

kenlick00

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
45
Reaction score
5
Naomba kujua, hivi ads katika simu zinasababishwa na nini? na pia ni njia gani naweza ziondoa maaana pindi ninapowasha data zinakuja hadi zinakeraa.

Msaada wadau.
 
Niki-download GUNSHIP BATTLE zinanizingua sana hizo hadi nimelifuta
 
Ads nyingi zinakuwa kweny website au app uliyo download kwa mfano ads ya tigo kwny jamii forum pia kuna ads zingine zinajidownload kama file kwny simu automatic pale unapotembelea website ambazo sio zakuaminika
 
Back
Top Bottom