Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kuchapa page yoyote ya word na kuiprint kwa kukonect simu na printer? Kama ndio nifate taratibu zipi? Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.