Habari zenu wakuu.
Napenda kutengeza website as a hobby sasa katika research zangu nimekutana na wordpress wakisema kuwa unaweza kutengeza website ata kama sio mtaalamu wa coding.
Nimeinstall wordpress locally kwenye mac yangu tayari kila kitu kipi setup.
Tatizo linakuja katika kutaka kudesign page yenyewe. Kwanza nataka kutengeza layout ambayo iko divided into 3 columns, ambazo ni header, content na footer. Nataka niweke my own design. Sasa nashindwa kuanza nimebaki nahangaika.
Kwenye header ningependa kuwe na rows mbili, ya kwanza iwe na social media links plus contact details, ya pili yake ndio iwe na logo kushoto na kulia yake ni menu.
Nimehangaika sana wadau naomba msaada wenu.
Nawasilisha