Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Angalia hapa katika picha Anayetaka kujaribu ipakue hapa GBWA v4.81-2.16.193 @atnfas_hoak.apk
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Nita unlock simu yako,kikubwa tupia model no.,imei,kupata imei bonyeza[*#06#] au *#0000#..au nicheki 768260834
2 Reactions
102 Replies
18K Views
Nataka ku cheat kifaru sasa muongozo wakuu.
0 Reactions
4 Replies
734 Views
CPU yangu ina njia tatu za sata lakini pia ina sehemu mbili zilizo achwa Kwa ajili ya njia zingine za sata Mimi niko Arusha, na ninaomba Kama kuna mtaalamu yeyote wa kazi hizi na yupo arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nmejaribu kwa kutumia simu bt nashindwa kutoa liuwazi hapo juu na kubadili picha msaada eandrtz.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu Habari za majukumu kuna video nataka kuangalia but nikiplay napata error { Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the...
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Naomba mwenye Link au app ya ESET Smart Security full key 64Bit anitumie kwenye Email selestinmichael@gmail.com au tupia hapo down Naomba sana wadau kwani natumia ambayo ni trial for 30 days ile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu.. naomba msaada nina page yangu Facebook ambayo iko update muda wote, pia mpka Sasa ina like 500+ na wanazidi kuongezeka siku adi siku, pia people reached wanafika 10000+ kwa kila...
2 Reactions
18 Replies
13K Views
Namtafuta mtaalamu kwa kuzifunga zile taa za kwenye kumbi za disco ambazo mwanga wake huwa zinawaka kwa kuendana na mdundo wa mziki.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza wana jf niwape pole kwa mihangaiko yenu ya kila siku. Mimi Nina simu ya Tecno w5 lakini sijui ni ya kwangu tu au na wengine.Simu yangu inamatatizo yafuatayo; (1)Haiwaki button zake tatu za...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau window yangu inahitaji activation ,mwenye window 10 activator anisaidie please.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu,je naweza kutumia dish kwenye flat tv yangu yenye king'amuzi cha ndani bila kununua king'amuzi cha nje? lengo likiwa ni kupata free to air channels Kama B4u...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hii simu nimeiflash kwa sp tools, baada ya kuflash tu imekuwa na Tatizo la Touch Wakuu nawezaje kutatua hili kwani nishajaribu touch kadhaa mzima tatizo ni lile lile
1 Reactions
9 Replies
2K Views
nimenunua umeme wa buku tano lakini nikiweka token kwenye mita ,mita inaandika reject au error 6 nisaidieni nifanyeje maana mwenzenu leo huenda nikalala giza.
0 Reactions
2 Replies
627 Views
Habari zenu wakuu Leo naomba kufahamishwa mambo machache kuhusu gari za automatic Oil ya gia box inapaswa kumwagwa kila baada ya km ngapi? Je ni kwel engine oil inatofautiana, yaani zipo za...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wenu nataka kuundA App nitakayochapisha simulizi zangu maana nina kipaji cha uandishi msaada jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I have a business in Tanzania, though I am LA, I want to verify my business in Tanzania and put it in a map, but the thing is, in Tanzania NO physical address, how do you guys manage this one as I...
0 Reactions
5 Replies
819 Views
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimechunguza na kufatilia sana hi ishu kwamba kwanini nchin kama Kenya wapo mbele kwenye haya abmo ya kutengeneza games na softwares nikagundua kwamba asili ya wabongo nayo inachanhia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomb aliewah kuchez Hil gemu anielkez jins y kufany installation maan obb file nnzo danload zinazingua Natanguliza shuklan
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom