Whats your Typing speed in WPM and how did you achieve it?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Katika tafuta tafuta yangu mtandaoni ili niweze kuwa na speed kubwa, maana nimekua nikiona watu wanasema wana type kwa speed ya 120WPM(Words per minute),Nimekutana na kitu inaitwa Almena Method kuifatilia kwa undani nikaona wanasema wanafundisha uweze ku-master touch typing within an hour ila wanatoza mpunga mrefu kidogo lakini ni bora ulipe hiyo kuliko kuwa "Keyboard Illiterate" .Nilishhakua impressed kuwalipa hiyo hela yao lakini kilichonistua ni kwamba kuna website mbili tofauti oja ina charge 19$ na nyingine 39$ nikaona hii lazima iwe #Scam na nikaona si vibaya kuwashirikisha wenzangu hapa JF ili nipate Hints kadhaa kutoka kwenu

1.Je wewe una type professionally au unadakua dakua herufi moja moja?
2.Speed yako kwa njia ya kutype kitaalamu ni ngapi? i.e how many words per minute(WPM)
3.Je,uliweza je kuwa keyboard literate?

Kwa watakao taka kuwasikiliza hawa watu wa ALMENA METHOD kuna video chini hapa

Wish you happy Saba saba day
 
Last edited by a moderator:
Mie nimejifunza kwa kutumia program inaitwa 21st Century Typing. Imenisaidia sana sana ku improve speed yangu ingawa siwezi kusema ni how many words per second lakini naweza chapa bila angalia keyboard tena haraka.
Kusema ukweli zipo typing tutorials software nyingi sana na kitu hii kwa technology ya leo huna haja ya kulipa hata $ moja kujifunza. Unaweza kujifunza mwenyewe tu kama mchezo vile!
Tafuta program kama hiyo au Typing master ambayo ndio common na ujifunze mwenyewe. Ni kama game vile lakini ndio unakuwa uko shule vile!
Mie nina rundo la typing tutorials software! Ningeweza kukusaidia ningekupa bure!
 
man i don't know ma typin speed per minute... ila nna speed kiukwel ... sio ya kudosoa heruf moja moja maana sometimes naeza andka bila kuangalia keyboard but not for too long atleast 10 to 20 sec.. not a joke.. mm nlianza kutype nkiwa form 3 kpnd hko nlikua nkitoka school naenda internet cafe moja hv kuna sister n mtaalamu had bas so alikua kama ananilingishia ujuz wake na mm nkawa naiga... yy anapo type anaangalia screen not keyboard .. alisema n sheria ya kutype...

na huko ndo nlikoanzia kuwa adicted to pc. Keybord zlikua n za fomart ya Azerty not Qweryt. na hata smu yangu ya kwanza yenye touch ilikua na option ya kueka either azerty or qwerty so nlikua naeka azerty. but now nmekuja kuizoea qwerty saana maaana ndo very common.

na from what i heard alie invert typewriter anaitwa Qwerty Yuiop hapo sjawah fuatilia kiundan zaij
 
Mkuu asante sana Typing master ninayo tayari ntaijaribu hiyo "21st century typing"...
Mimi bwana keyboard nimeizembea sana siwezi type bila kuangalia herufi kwenye keyboard ila sasa nimepata bunch of work to type nimeona umuhimu wake
 
man i don't know ma typin speed per minute... ila nna speed kiukwel ... sio ya kudosoa heruf moja moja maana sometimes naeza andka bila kuangalia keyboard but not for too long atleast 10 to 20 sec.. not a joke.. mm nlianza kutype nkiwa form 3 kpnd hko nlikua nkitoka school naenda internet cafe moja hv kuna sister n mtaalamu had bas so alikua kama ananilingishia ujuz wake na mm nkawa naiga... yy anapo type anaangalia screen not keyboard .. alisema n sheria ya kutype...

na huko ndo nlikoanzia kuwa adicted to pc. Keybord zlikua n za fomart ya Azerty not Qweryt. na hata smu yangu ya kwanza yenye touch ilikua na option ya kueka either azerty or qwerty so nlikua naeka azerty. but now nmekuja kuizoea qwerty saana maaana ndo very common.

na from what i heard alie invert typewriter anaitwa Qwerty Yuiop hapo sjawah fuatilia kiundan zaij

Duuh!we kweli mkongwe hadi keyboard ya Azerty ndo ulijifunzia...
 
inategemea na lugha na keyboard pia... nikipata desktop computer au zile za gaming naenda hadi 100 kama ni kiswahili au ngeli maneno nayoyaelewa, kama yanatoka kichwani basi hadi 120.... ila ukija kwenye keyboard ya laptop nachezea 80-90 hizi keyboard zinaniboa sana.... nlipitia Typing Master ka miaka kumi na hvi nyuma, na Mavis Beacon niliipiga sana ile software..
 
sio ukongwe maana ilikua miaka ya 2007 tuu ila wenye cafe walikua na keyboard za kzaman.. s unajua tunaokaa mikoan... hasa huku kusini... atleast now day naona watu wanaelimika maana now naona huku had wazee wanatumia androids japo ni clones ͺ tecno na i tell .. ila wanatumia apps za vjana maana ma tecno yanakuja pre installed whatsapp na facebook
 
Kuna wakati nilikuwa naenda hadi 120 nilivyokuwa form 3 ila sasa nimeshuka hadi 20 hivi. Sometimes inapanda na kushua kutegemea na mood ya hyo siku. Kuangalia keyboard ndo ugonjwa wangu
 
inategemea na lugha na keyboard pia... nikipata desktop computer au zile za gaming naenda hadi 100 kama ni kiswahili au ngeli maneno nayoyaelewa, kama yanatoka kichwani basi hadi 120.... ila ukija kwenye keyboard ya laptop nachezea 80-90 hizi keyboard zinaniboa sana.... nlipitia Typing Master ka miaka kumi na hvi nyuma, na Mavis Beacon niliipiga sana ile software..

Hii Almena method umeisikia au ndo #scam zenyewe hizi?
 
Kuna wakati nilikuwa naenda hadi 120 nilivyokuwa form 3 ila sasa nimeshuka hadi 20 hivi. Sometimes inapanda na kushua kutegemea na mood ya hyo siku. Kuangalia keyboard ndo ugonjwa wangu

why such a drastic drop?
 
Hii Almena method umeisikia au ndo #scam zenyewe hizi?

hiyo sijawahi isikia, japo kusema within an hour nahisi watakua wanadanganya manake uzoefu wa typing unakaa akilini, vidole mtu anakua anapeleka utasema hafikirii vile, sasa kusema wanaweza wakamkaririsha mtu keyboard within an hour duh! hiyo technique yao noma sana
 
Kuna Software za aina mbili wanadai moja ni ya kumaster zile herufi ambako wanatumia mnemonics according to ile video niloweka...

Sogtware zenyewe wanadai lazima uwe online kuitumia

na software ya pili ni ile ya Speed nand accuracy...

Mimi nafikiri ni #scam maana pia wana websites mbili ambazo zimeainisha bei tofauti
 
ngoja ntawafuatilia zaidi.. ninajua kuhusu mnemonics na kwa mnemonics mtu anaweza kukariri hata cards 54 ndani ya dakika na akazirudia zote vizuri sema still inaweza kua scam maana mnemonics mtu anajifunza kuimaster si kwa muda mfupi, hadi mtu kua master kwenye mnemonics it takes time
 
I don't type kivile but my speed is good enough, a bit north of 50WPM ambayo yote came from day to day use ya computer.
Ila I'm not consistent, with a Thinkpad 7-row keyboard I type the fastest, decreases on these new chiclet keyboards and the worst on Mac keyboard...
 
This is new to me as I Can see on my DELL Lappy its 6 rows
Is this a QWERTY keyboard?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom