Tatizo kwenye google adsense inakataa baadhi ya matangazo

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Jamani habarini, naomba kufahamu, kwa nini matangazo ya google adsense yayaonekani kwenye baadhi ya post ninazoweka kwenye site yangu?

Na pia nime-experience hivyo hasa kwenye post za kiswahili, ila nikiweka post za kiingereza matangazo yanaonekana, naomba msaada kwenu wadau, natanguliza shukrani
 
jamani habarini, naomba kufahamu, kwa nini matangazo ya google adsense yayaonekani kwenye baadhi ya post ninazoweka kwenye site yangu?, na pia nime-experience hivyo hasa kwenye post za kiswahili, ila nikiweka post za kiingereza matangazo yanaonekana, naomba msaada kwenu wadau, natanguliza shukrani
Wakati mwingine jaribu kuwa serious na maisha.. toka lini adsense ikatumia kiswahili???? kuna template zinakubali kwa kiswahili ila google wakiona unafungiwa mara moja..
 
Ina maana mpaka leo hujui masharti ya hizo adsense kweli
 
mablogger wengi Tanzania ni njaa tu,inabidi tuanze kuwatoza kodi hawa mabloger maana wamekuwa wengi sanaaaa.
Ngoja niongee na philip mpango kuhusu suala hili na ninajua ikipitishwa hili litaondoa mablogger njaa tu hapa Tanzania.

Ina maana mpaka leo hujui masharti ya hizo adsense kweli
 
Back
Top Bottom