Ombi La Keyboard Shortcut Kwa Anayefahamu.

Ombi La Keyboard Shortcut Kwa Anayefahamu.

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Natumia laptop yenye windows os. Kila ninapotaka kufahamu kinachoendelea kwenye kompyuta
ninafungua task manager na kufahamu yote yanayoendelea. Kufungua task manager natumia button tatu:
alt + ctrl + delete. Hizi button zinahitaji matumizi ya mikono yote miwili.

Kwa bahati mbaya wiki iliyopita nilipata ajali ya bodaboda na mkono wa kushoto ukaumia kiasi siwezi kuutumia kubonyeza button yoyote. Ndo nauliza, je naweza kufungua task manager kwa kutumia mouse? Au kubonyeza button moja tu?
Asanteni.
 
Ndio, kama unatumia OS ya Windows 8 unaweza ukashuka chini kabisa na kubonyeza Right Click kisha itakupa majibu, kati ya hayo itatokea sehemu ya Task Manager, ikitokea Click hapo. Kila la heri.
 
Ndio, kama unatumia OS ya Windows 8 unaweza ukashuka chini kabisa na kubonyeza Right Click kisha itakupa majibu, kati ya hayo itatokea sehemu ya Task Manager, ikitokea Click hapo. Kila la heri.
Asante sana ALEYN imefanya kazi. Sasa mkono wangu wa kushoto utapumzika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom