PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,266
- 34,249
Ni takribani miezi 6 imepita tangia kampuni ya simu ya nokia kuingia kwenye platform ya android ambayo inaushindini wa hali ya juu katika medani za smartphone
tulishuhudia simu 3 za kisasa zikizinduliwa pale china yaani nokia 3,5 na 6 lakini cha kushangaza mpaka leo simu hizi zimeshindwa kuingia global market.mfano halisi ni pale nchini india ambapo HMD global walihaidi kuanza mauzo ya simu hizi cha kushangaza wameanza kuuza toleo la nokia 3 huku nokia 5,6 zikisubiri hadi mwezi july
wapenzi wengi wa nokia duniani hasa ulaya wamesikitishwa na kuchoshwa kwa kampuni hii ya HMD kushindwa kucompete na manufacturer wengine,hata huku bongo tulihaidiwa simu hizi zitaingia mwezi huu
bora niangalie simu kama samsung J 7(2017) labda itanifaa kuliko kuisubiri nokia 6 hadi mwakani