Ufwandunkanye
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 123
- 193
Habari wakuu wa jukwaa,
Naomba msaada,
Kublock namba ngeni pindi ninapopigiwa, lakini nijue namba iliyoingia, yaani nione kama arlet hivi kwamba namba fulani imenipigia.
Naombeni msaada wenu tafadhali!