Samsung smart TV inchi 49

Samsung smart TV inchi 49

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,742
Reaction score
25,678
Habari zenu wataalamu akina CHIEF MKWAWA

Nilikuwa naomba marlekezo kuhusu hii TV ya Samsung smart TV je naweza kudownload nyimbo

24f122e8844d7e958524d478dccf08e7.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu sijawahi tumia hio tizen ya tv, sina uhakika, unaweza download chochote? kuna player ya muziki humo ndani?

mkuu unajua kwa wenzetu huko nje unapokuwa na tv kama hizo utahitaji router ya wifi, hii inakusaidia ku move vitu baina ya kifaa kimoja na chengine, unaweza tumia laptop kuplay muziki wa kwenye simu, tv ikaplay video ya laptop etc, ilimradi zote ziwe network moja, kwa kazi kama hio plex ingefanya.
 
YouTube IPO opera mini pia ipo
 
Back
Top Bottom