Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji adobe Photoshop. Wapi naweza kuipata bure ndugu zangu?
blame no body
blame no body
inakuwa trial usipoicrack, crack ipo humo humo.
inakuwa trial usipoicrack, crack ipo humo humo.
au download portable kama hata hujui crack ni nini.
Msaada mkuu, torch browser, opera browser, google chrome zote haziplay streamline video, yaani unasikia sauti picha haionekani! tatizo linaweza kuwa nn? nalitatuaje? nimejaribu ku uninstall na kuinstall upya zimegoma
Mkuu hizi psp game naweza pata link ya kuzipakua na ili niweeze cheza inahitaji vitu gani nivi download maan kuna simu ya jamaa nilikuta ana cheza hizi game lna bila keyboard .ahsanteh
Mkuu hizi psp game naweza pata link ya kuzipakua na ili niweeze cheza inahitaji vitu gani nivi download maan kuna simu ya jamaa nilikuta ana cheza hizi game lna bila keyboard .ahsanteh
Huwa nastream football matches , fire fox ina kubali Ila am addicted to torch na opera, ni fanyeje? You tube not guaranteed, sometimes inaonyesha halafu video nyingine inakataa1. hujaeka driver za gpu
2. hio technology pc yako haikubali.
ni stream ipi? youtube?
na pia opera, torch, chrome zote zinatumia engine moja webkit/blink hivyo ni kawaida moja ikifeli kitu fulani zote zikafeli, umejaribu firefox?
nenda playstore kadownload emulator inaitwa ppsspp
games zote utapata hapa
Play classic video games on your computer or mobile device | Emuparadise
sema raha ya psp uwe na pad ya game, ukicheza na touch screen hutapata ile ladha.
baada ya kupakuwa mkuu god of war napitia steps gani ili nicheze game? Ahsantehnenda playstore kadownload emulator inaitwa ppsspp
games zote utapata hapa
Play classic video games on your computer or mobile device | Emuparadise
sema raha ya psp uwe na pad ya game, ukicheza na touch screen hutapata ile ladha.
huwa mpira mara nyingi flash unatumia,Huwa nastream football matches , fire fox ina kubali Ila am addicted to torch na opera, ni fanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
unafungua ppsspp then unachagua sehemu ya kuload rom then unachagua rom unaplay.baada ya kupakuwa mkuu god of war napitia steps gani ili nicheze game? Ahsanteh
Nilishaifanya hii kitu bado ikagoma, hata application ya WhatsApp nayo haiplay, hata ile online TV ile ya kitanzania nayo doesn't playhuwa mpira mara nyingi flash unatumia,
kwa haraka haraka pengine flash ipo outdated huko wameiblock then firefox ipo, ukiingia hizo site hakuji neno kwenye firefox kwa ajili ya ku enable flash player?
kwa kuhakiki ingiza hii adress kwenye chrome
chrome ://plugins/
then shuka chini utafute flash then enable,
Mkuu vp password ya hii aplication ni nini? Chief-mkwawa
kuna firefox mpya imetoka mkuu still ni beta, google firefox beta kisha jaribu, inatumia engine mpya hivyo pengine itasolve tatizo lako.Nilishaifanya hii kitu bado ikagoma, hata application ya WhatsApp nayo haiplay, hata ile online TV ile ya kitanzania nayo doesn't play
most of time ni jina la website jaribuMkuu vp password ya hii aplication ni nini? Chief-mkwawa
tofauti kubwa ya haraka haraka ni kwamba 64bit inatumia ram zaidi ya 4GB wakati 32bit haiwezi.chifu.. hivi tofauti ya 32bit na 64bit ni nini.. na je ipi ni bora kwa 64bit au 32bit