teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau leo naomba kusaidiwa, nawezaje kuitumia simu yangu ya smartphone itumike kama projector?
Lkn pia mara nyingi ukitaka kurusha matangazo au presentation huwa tunatumia computer kama chanzo sasa je nikihitaji kuitumia simu natakiwa kuwa na nini?
Projctor iliyopo ni Epson na simu ni Infinix. Nawasilisha