Msaada: Namna ya kipokea pesa kwa njia ya bitcoin

Msaada: Namna ya kipokea pesa kwa njia ya bitcoin

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,721
Reaction score
2,401
Nauliza namna yabkupokea pesa from bitcoin to tigo pesa au mpesa.... mwenye kujua application nzuri ya bitcoin nzuri & procedures za kuwithdraw money naomba anisaidie
 
Maana kuna hela sehemu zinatakiwa kuwa withdrawn ziingie kwenye account ya Bitcoin
 
Promo at work.. Mnataka kuwashawishi watu kijanja siyo
 
Back
Top Bottom