Note 5 mpya kujifunga na kuniandikia 'custom binary blocked by frp lock!'

Rwaz

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,295
Reaction score
4,134
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0.

Nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. Nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.
 
sim haina hata siku moja nimetoa dukan ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. maelezo ya google mengi ni kuiflash. mwenye njia mbadala. au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo. nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0. nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.

Ingia Firmwares
search Galaxy Note 5 kisha upakue firmware yako!
Kuna za nchi mbali mbali ila wewe unaweza angalia inayo endana na Android Version au PDA/CSC ya simu yako na hizi details zote unaweza zipata kwa kwenda "About Phone".
Ukishindwa kuona inayoendana na simu yako tafuta nchi yoyote ya Afrika ukikosa chagua india!
 
Mkuu bonyeza switch ya kuzima simu na swith ya katikati ya simu(main switch)bonyeza kwa wakati mmoja
Zi hold kisha simu itaji Reboot na kujipanga Files upya
 
Ikiharibika mtakuwa mmemuharibia warrant yake
Ingia Firmwares
search Galaxy Note 5 kisha upakue firmware yako!
Kuna za nchi mbali mbali ila wewe unaweza angalia inayo endana na Android Version au PDA/CSC ya simu yako na hizi details zote unaweza zipata kwa kwenda "About Phone".
Ukishindwa kuona inayoendana na simu yako tafuta nchi yoyote ya Afrika ukikosa chagua india!
 
Ha
Sim haina hata siku moja nimetoa dukani ikiwa nzima sasa imejifunga hivi. Maelezo ya google mengi ni kuiflash mwenye njia mbadala au namna naweza kuiflash mwenyewe nilipo hakuna fund huyo nina PC + BUNDLE, USB, MODEL N920T, ANDROID 7.0.

Nashindwa kuitumia odin na namna ya kuidownload firmware. Nahitaj wa kunieleza kwa link husika.
HUMU SIJAWAI KUKOSA TIBA! forum inayotendewa haki.
Mkuu tumia official software ya samsung inaitwa samsung kies kuweka firmware yake official kuna wakati ukikosea hizo firmware unaua simu yako.
Kuna note fulani nilitafuta firmware yake niliikosa hadi mafundi walikosa.
So hivi vifaa vya samsung kuwa makini kwa maana note 5 na note 5 ila differ firmware.
Official Samsung KIES® Download
Kies detects automatically your firmware.
Easily ti use kuliko kukisia firmware.
 
Ha

Mkuu tumia official software ya samsung inaitwa samsung kies kuweka firmware yake official kuna wakati ukikosea hizo firmware unaua simu yako.
Kuna note fulani nilitafuta firmware yake niliikosa hadi mafundi walikosa.
So hivi vifaa vya samsung kuwa makini kwa maana note 5 na note 5 ila differ firmware.
Official Samsung KIES[emoji768] Download
Kies detects automatically your firmware.
Easily ti use kuliko kukisia firmware.
Akitumia io njia frp haitoki
 
Nilishatoa frp bila ya firmware installation kuna trick za hapa na pale ila inachukua ka muda na uwe mvumilivu aingie tu youtube.
Yah me bnafs najua ila mleta uzi ndo hajui..ningemshaur agoogle tu..izo tricks atazpata kbao online..akshndwa aipge bei
 
True.....
Sema inabidi uwe mvumilivu kuna fails za hapa na pale kwa hio ukikata tamaaa basi.....
Ajaribu.
 
wengine hatuanzii humu mkuu. nimeshajarib kumwona mr google kwa kina. wote wanaishia kwenye kuiflash sim. nitashukur ukinipa hata link ya unachojua toka huko google. umeelezea juu juu kama vile unajua kwa juu juu.
 
wengine hatuanzii humu mkuu. nimeshajarib kumwona mr google kwa kina. wote wanaishia kwenye kuiflash sim. umeelezea juu juu kama vile unajua kwa juu juu.
Sio juujuu mkuu.si unajua n kosa..ila fanya hivi km ni yako..nenda google tafta android version ya chini yake..mfano 5.1.1..yaaan tumia odin kuidowngrade simu yk then endelezea procedure za google ndo itakubali
 
True.....
Sema inabidi uwe mvumilivu kuna fails za hapa na pale kwa hio ukikata tamaaa basi.....
Ajaribu.
toa msaada utabarikiwa tu. litendee haki jukwaa hili nyeti. au unataka liwe butu kama la wanasheria.
 
Otg cable yenyewe inakuwa kama hivi ina usb port na usb ya simu.
314bKGTOudL._SL500_AC_SS350_.jpg
 
Back
Top Bottom