Simu nikiiwasha inaleta maandishi tu.

msigazi

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
456
330
Wana jf Naomba Msaada kuna simu Tecno H5
Nikiiwasha inaleta maandishi ya Tecno haindelei cjajua tatizo ninini!

Simu haina memory Naomba Msaada wenu wajuzi WA mambo hayo

Natanguliza shukrani
 
Mkuu ulijaribu kuiroot??
Hamna!

Mkuu ilianza na tatizo ikiwa inachajiwa imezimwa inaonekana kana kwamba imemwaga wino

Ukiiwasha tatizo hilo LA Kama kuvuja wino halionekani

Nikaja kuichaji siku moja
Baada ya kujaa chaji nikaiwasha ikagoma kuwaka kisawasawa
 
Suluhisho LA hiyo simuvni kuifrash tu.hata Mimi nilikuwa ninamiliki tekno y4 kuna siku nilibadilisha memory card kuja kuiwasha ikaganda.nikajalibu kui reboot ikagoma nikaipeleka kwenye compyuta na wakaifrash.
 
Pole kwa tatizo kama hilo, kwa cc mafundi wa software tuna uwezo wa kuchunguza na kujua ttzo limetokana na hardware au ni software na km basi ni software linatengenezwa na km ni hardware basi software hana nafasi, hapo kuna mawili CIRCUIT imekufa lkn ina uwezo wa kuandika neno TECNO ambalo halioneshi inawaka wala ile logo ya kuleta maandishi ya TECNO blue blue, hapo jua ni saketi kbs unastahili kubadilisha na kuweka nyingine either MPYA AU USED kwa mpya ingia CUSTOMERS SERVICE YA TECNO iliyokaribu nawe, ila kabla ya yote jaribu kwa mafundi wa SOFTWARE maana HARDWARE ht akitengeneza atakwambia ni CIRCUIT hivyo jipange tafuta Used or Mpya, na km ni kuflash yakupasa uwe na requirements zifuatazo :-
1:pC laptop or dekstop
2.USB cable
3:SP FLASH TOOLS
4:ROOM YA TECNO H5 YAANI FIRMWARE YAKE YA SIMU
MPK HAPO UMEPATA MWANGA INGIA GOOGLE UPATE MAELEZO ZAIDI
 
Suluhisho LA hiyo simuvni kuifrash tu.hata Mimi nilikuwa ninamiliki tekno y4 kuna siku nilibadilisha memory card kuja kuiwasha ikaganda.nikajalibu kui reboot ikagoma nikaipeleka kwenye compyuta na wakaifrash.
Yako ilikuwa so tatizo kubwa ni ndogo ila ogopa simu inayoximikia kwenye charger
 
Wana jf Naomba Msaada kuna simu Tecno H5
Nikiiwasha inaleta maandishi ya Tecno haindelei cjajua tatizo ninini!

Simu haina memory Naomba Msaada wenu wajuzi WA mambo hayo

Natanguliza shukrani
Nenda kwa mafundi wenye uzoefu watairekebisha tu wala gharama haizidi 10,000/= kuna Tecno P5 ilikuwa hivohivo nilipeleka kwa fundi sasa hivi iko poa.
 
Zima simu kisha toa betri kama sekunde 30 kisha rudisha halafu minya kwa pamoja kiwashio na kiongeza sauti usiachie mpaka uone robot la android kisha minya kiongeza sauti halafu nenda katika factory reset kwa kishusha sauti halafu minya kiwashio ngoja imalize kuriset halafu nenda katika chaguo la kwanza kabisa juu minya kiwashio kama utaminya kiwashio na kipunguza sauti utafuata maelezo hayo.JIONGEZE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom