Habari, matumaini yangu ni wazima naomba msaada wa kufuta kila kitu kwenye simu maana nimeweka email ambayo nimesahau password yake so nikienda kwenye factory reset inaniambia weka password ambazo Zote sizijui. Nikitaka kubadili email siwezi nisaidieni wandugu zangu nifanyeje!