Nikipakua movie inagoma kuplay

Nikipakua movie inagoma kuplay

Mngazija_Jr

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
48
Reaction score
58
Wakuu habari za muda huu, nimepata shida kidogo nikiwa na download Videos kutoka sites zifuatazo.
1. HDpopcorns.com
2. Moviescouch.com

Hizi sites zina Movies nzuri tena latest tatizo liko hapa.
Unadownload Movie karibu yote inakubali vizuri sana ila kwenye kuplay ita play labda robo tatu ya Movie na inashindwa kumaliza movie yote sana sana inakuandikia " can't play this video" inanikera kweli.

Sasa naombeni mnisaidie nifanye ili video zote zimalize kuplay mpaka mwisho?

Nawasilisha
 
ngoja wajuaji wa hizo waje wengine sisi youtube ndo tunaangaliaga dj afro
 
Back
Top Bottom