Msaada wa king'amuzi cha DSTV na startimes

Anko Elly

Member
Feb 22, 2017
69
70
Wajuvi wa mambo ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea kulisongesha gurudumu la maisha. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ni mzima na naendelea vizuri pamoja na familia yangu.

Penye wengi kuna mengi, nahitaji kufahamu kwamba kama naweza kufunga ving'amuzi viwili(2) yaani Startimes na Dstv kwenye Tv moja na nikawa nachagua kama nataka kuangalia vipindi kutoka startimes au nikabadili kuangalia vya Dstv.

Pia kutakuwa na ulazima wa kufunga ma-dish mawili au dish moja linaweza kutosha kufanikisha mchakato huu mzima.

Kwa wale wenye ujuzi wa hii naomba msaada wenu.

Nawasilisha
 
tafuta hii kitu
aux switch.jpg
 
Akhsante kwa ' Kuturingishia ' kwamba unamiliki Dstv na StarTimes Mkuu. Weekend hii kuna mechi za ' derby ' EPL vipi naweza kuja Kwako angalau ' nidoee ' tu ' kukodolea ' baadhi ya mechi?
 
Kwenye hili naweza Kukusaidia

Kama Tv yako ni ina Port za HDMI zaid ya moja unaweza kuunganisha hzo Port through HDMI cable mbili from Ving'amuz vyako na kuendelea kutumia vyote viwili bila shida ukawa unabadili kupitia remote yako tu utumie king'amuz gan kwa muda huo.
 
Simple solution kama anatumia Tv za kisasa
 
Kwenye hili naweza Kukusaidia

Kama Tv yako ni ina Port za HDMI zaid ya moja unaweza kuunganisha hzo Port through HDMI cable mbili from Ving'amuz vyako na kuendelea kutumia vyote viwili bila shida ukawa unabadili kupitia remote yako tu utumie king'amuz gan kwa muda huo.

Asante sana mkuu kwa msaada
 
Akhsante kwa ' Kuturingishia ' kwamba unamiliki Dstv na StarTimes Mkuu. Weekend hii kuna mechi za ' derby ' EPL vipi naweza kuja Kwako angalau ' nidoee ' tu ' kukodolea ' baadhi ya mechi?

Hapana mkuu siko kwa ajili ya kuringishia bali nahitaji kujifunza na kufahamu zaidi
 
Back
Top Bottom