Msaada ku unlock vodaphone smart bomba v301

Carokola

Member
Oct 7, 2016
54
25
Habari wanajamii!
Nililinunua simu aina vodaphone smart bomba V301 line mbili sasa kwa upande wa data inataka tu voda haikubali niweke line nyingine ata hivyo data inatumia tu line 1 ambayo lazma iwe voda ukibadili inaleta SIM LOCKED
Msaada jamn
 
Hapo hakuna namna zaidi ya kuiflash itumie laini zote,ni hayo tu mkuu.
 
Habari wanajamii!
Nililinunua simu aina vodaphone smart bomba V301 line mbili sasa kwa upande wa data inataka tu voda haikubali niweke line nyingine ata hivyo data inatumia tu line 1 ambayo lazma iwe voda ukibadili inaleta SIM LOCKED
Msaada jamn
Una buku 15?? Kama unayo basi ingia pm hapo nitafute
 
Hamna namna hapo kai flash tu mchezo kwisha au wa PM washkaji wanakuambia watakupa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom