Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
habari za siku nyingi ndugu wa jf mimi ni blogger nipo na kablog kangu haka Zotekaliblog – The House of Entertainment News huwa napata mia ndogo ndogo namshukuru mungu miezi iliyopita nilipata U$D 100 na nikatumiwa fresh katika bank akaunti yangu lakini kipindi hiki nimepata u$d 122 na adsense wanasema wameshanitumia kuanzia tarehe 27 lakini chaajabu nimeenda bank lakini hakuna pesa na nimewauliza watu wa bank wanasema hawajapata kuona pesa yeyote katika akaunti yangu sasa nashindwa kuelewa pesa yangu imepotelea wapi?
msaada wenu ndugu zangu
msaada wenu ndugu zangu