una simu ya android? nenda store halafu download app ya ampere halafu charge simu na tv kisha fungua hio app nisomee ampere na voltage ili tujue kama ni kweli hio tv inatoa umeme mdogoInatumia adopter je inaweza ikawa sababu ya kupeleka umeme. Mdogo kwenye HDD?
hii ni external hdd ya kawaida tatizo hata pop up haitokei kwenye screen
jaribu kubadili HDD.kuna kipindi nilinunua external kwenye laptop inafanya kaz ila kwenye tv ikawa haonekan kama ulivyosema nikajaribu nyingine ikakubali.hii ni external hdd ya kawaida tatizo hata pop up haitokei kwenye screen
1. hio HDD haina sehemu ya kuchomeka usb cable kwa ajili ya kuingizia umeme?
2. umeiformat kwa format gani hio HDD? maana tv haiwezi soma format zote
Azam haina uwezo wa kusoma extrernal ya ukubwa huo