yoelbn
Member
- May 31, 2017
- 17
- 4
Msaada kwa wenye uelewa na ili swala nlipiga picha kwenye cannon D90 nkachomoa memorycard nkaweka kwenye computer ili nikopi picha ikasoma afu ikatoka ikasoma tena picha 8 kati ya 80+ zilizokuwemo kama kuna njia ya kurudisha izo picha naomba mnisaidie ni za graduation
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app