Msaada: Namna ya kurejesha sms nilizofuta kwenye simu

Msaada: Namna ya kurejesha sms nilizofuta kwenye simu

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2015
Posts
795
Reaction score
479
Ndugu zangu, Naomba mnielekeze namna ya kurejesha SMS nilizozifuta kwenye SIMU.
 
Watu wanatamani kukusaidia ila shida ni tabia zako teteh teh teh
3ba24f5d70fc1e98b978b06a7d5a13fd.jpg
 
Ndugu zangu, Naomba mnielekeze namna ya kurejesha SMS nilizozifuta kwenye SIMU.
Simu yako ina run android, kama yes ingia play store tafta sms recovery jina exactly nimeosahau hiyo app kwa maana situmii android muda mrefu lakini imewahi nisadia mara kibao siku za nyuma
 
Back
Top Bottom