Msaada wa haraka kuhusu kuvuta pesa kutoka mbele

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Quick-Loans.jpg

Habari wakuu, kichwa tajwa cha jieleza,
Nahitaji msaada wa mawazo katika ya hizi njia zakupokea pesa kutoka mbele (Abroad), ni ipi inawahi kukupa hela (kupokea haraka within 2 days) kati ya zifuatazo
1. Western Union
2. Wire Transfer
Nakaribisha mchango wa mawazo.
Karibuni.
 
Mi nshawahi pokea kwa western union na money gram hiyo nyingne cjawahi itumia
 
Western Union ni pale anapoziweka tu kule nje ya nchi wakisha confirm unaweza kuichukua huku
 
Quick-Loans.jpg

Habari wakuu, kichwa tajwa cha jieleza,
Nahitaji msaada wa mawazo katika ya hizi njia zakupokea pesa kutoka mbele (Abroad), ni ipi inawahi kukupa hela (kupokea haraka within 2 days) kati ya zifuatazo
1. Western Union
2. Wire Transfer
Nakaribisha mchango wa mawazo.
Karibuni.
mpesasa within seconds unapokea salio
 
W.union/Money Gram ni within 30mins kutegemea na jinsi alivyotuma,ukiwa atatuma kupitia mtandaoni itachukua 12hrs,but akituma in cash dirishani anapewa mtcn no(password) then unaenda kuchukua pesa dakika hiyo hiyo,kumbuka kwamba ni kitambulisho cha taifa tuu ndicho kinachokubalika kuchukua pesa W.union au Money Gram,Kuhusu wire transfer inachukua around 72hrs but itategemea katuma kutoka nchi gani na kwa currency ipi.
 
SHUKRANI
 
ooh ni kweli kwa majirani zetu KENYA
no from america bana kuna money transfer inafanyika within seconds unapata mi naiza bidhaa online kuna rafki zangu huwa wananunua na in dakikaz inakujia pesa sijajua inaitwa kitu gani
 
ebu andika vizuri
 
Quick-Loans.jpg

Habari wakuu, kichwa tajwa cha jieleza,
Nahitaji msaada wa mawazo katika ya hizi njia zakupokea pesa kutoka mbele (Abroad), ni ipi inawahi kukupa hela (kupokea haraka within 2 days) kati ya zifuatazo
1. Western Union
2. Wire Transfer
Nakaribisha mchango wa mawazo.
Karibuni.
Natuma hela kutoka Marekani kwa simu kutumia app inaitwa "Wave". Kutoka Marekani kwenda M-Pesa.

Inachukua chini ya dakika tano most days. Mara nyingi nikituma hela ndani ya dakika moja au mbili napata emailconfirmation hela zishaingia M-Pesa.
 
Back
Top Bottom