Hello guys tafadhali mwenye kufahamu wapi nntapata spair ya SAMSUNG FLAT TV inch 32 na Bei yake naomba nijulishwe nntaipataje nipo GEITA
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Wadau mwenyewe kujua materia gani yanaweza kusafisha renzi ya camera ya sm
Tatizo renzi ilibanduka mda wa kurudishia fundi akatumia super glue kwaiyo renzi ikaweka ukungu kwenye kilo cha camera...
Jamani naomba mnisaidie jambo moja, shida yangu ni kwamba namba yangu ya halotel ninayoitumia katika mawasiliano imekuwa na tatizo yaani kila anaejaribu kunipigia inajitaka yenyewe kwake na wakati...
Watafiti wa masuala ya usalama katika kompyuta wamekgundua kuwa kuna applications zilizopakuliwa kupitia Playstore zinazofungua matangazo bila ya mtumiaji wa simu kutambua
Application hizo...
Najiuliza sipati jibu. Je lengo la kampuni ya Samsung ni kutaka hizi simu zao high ends zisitumiwe na watu wenye miili midogo au ni nini?
Kuanzia Note 8, Note 9, Galaxy S9, S10 sasa S10+ hizi...
Tangazo Tangazo Tangazo tunatoa huduma bora nanzuri kabisa Kama vile;
[emoji1010] Services Offered
[emoji404] Typings
[emoji273] website design
[emoji273] Promoting and Website host and develop...
Wakuu, wapenzi wa nyimbo za kikatoliki karibuni kupakua app bomba za ku download Nyimbo mpya za kikatoliki
https://play.google.com/store/apps/details?id=comtz.app.nyimbozakatoliki
Au tumia hii...
Salam wadau wote
Ni Hivi simu yangu techno y2 kila nikiizima na kuwasha meseji za zamani zina jirudia yaani kitendo cha kuzima na kuwasha tu meseji za miezi 6 iliyopita zinaingia nimejaribu...
Wataalamu wa GB whatsup naombeni msaada hivi nilikuwa ninatumia GB whatsup niliipata sasa wiki mbili sijaitumia nimekuja kuingia nakuta neno your version is old please download kila nikijaribu...
nilitembelewa na ndugu hapa tanzania aliekuwa akitokea kwa obama,kwa kuwa simu zao hazina sehemu ya kupachika laini ilimbidi anunue simu mpya,baada ya kununua simu hiyo nilimpatia laini yangu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.