Simu yangu inaita, nifanyeje kuipata?

Simu yangu inaita, nifanyeje kuipata?

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Nimesahau nimeiacha wapi ila nikipiga inaita je, nifanya kujua iko wapi? sikuwasha location on so kwenye google haionekani.
 
Hahahaha...kwa majibu haya siwezi kuhama Jamiiforum kwa kweli.

Nimecheka sana
 
Aiwezi onekana sababu aukuiwasha locatio,ndo maana ukiwasha location mood alafu ukaiweka lock,alafu ukataka kuizima location kabla ujatoa lock location aizimi hii ni kwa sababu ya usalama hata ikiibiwa mwizi akitaka kuzima location aiwezekani hadi atoe lock.
Nimesahau nimeiacha wapi ila nikipiga inaita je, nifanya kujua iko wapi? sikuwasha location on so kwenye google haionekani.
 
Ni simu gani mkuu?jaribu kuinstall Find my phone app utaikuta playstore ina uwezo wa kuonesha location iliyopo pia kuongeza sauti
 
Pole sana.
Kama ulisave contacts ktk email yako basi damage ni ndogo
Nimesahau nimeiacha wapi ila nikipiga inaita je, nifanya kujua iko wapi? sikuwasha location on so kwenye google haionekani.
 
Back
Top Bottom